HDMI Cable 4K 60Hz
Unganisha TV, king'amuzi, laptop, au PlayStation yako kwa urahisi! Waya huu wa HD unatoa picha angavu sana ya 4K na sauti safi bila kukwamakwama. Ni mzuri kwa mifumo ya sauti ya nyumbani (home theatre), projekta za ofisini, na magemu. Unachomeka na kutumia tu!
30,000.00 TSh
30,000.00 TSh
30,000.00 TSh
-
Length



